Thursday, December 31, 2015

Taa za Barabarani Mkoa IRINGA

Taa za barabarani zimeanza kungwa Mkoa wa IRINGA
Hongera Sana wadau wote wa usalama barabarani

Friday, November 20, 2015

VCCT STEP UP DAY & NIGHT -2015..

ijumaa ya tar. 27/11/2015.
💥 kuanzia saa 3 usiku na:
j2 ya tar.29/11 katika ibada ZA VCCT itakua nI STUDENT DAY (GET FULL CHARGED)ambayo ni maalumu kwa: *WANAFUNZI* na watahudumu na kuhitimishwa na maombi maalum yakuwekwa wakfu yatakayofanywa na Rev. Dr. Huruma & PST. Joyce Nkone.
Ibada ya 1: 07:00 asbh.
Ibada ya 2: 10:00 asbh.
USAFIRI KUTOKA VYUONI NA KURUDI UTAKUWEPO KATIKA SIKU ZOTE MBILI.
Karibuni sana.

Monday, March 17, 2014

SIKUKU YA WANAWAKE WWK T.A.G Forest

NAFASI YA MWANAMKE KATIKA FAMILIA


  • MJENZI WA NYUMBA MHUBIRI 7:12


Photo: SHEREHE YA KINA MAMA (WWK) T.A.G. FOREST
Pastor Thobias Na Mama Mchungaji

  • MJENZI WA NYUMBA MHUBIRI 7:12
 Jinsi ya kupata Hekima katika familia
  • MAOMBI Yakobo 1:5

  • KUSOMA NENO Mithali 4:7

  • KUJIFUNZA KWA WALIOTUTANGULIA Tito 2:3

  • KWA KUOKOKA


Photo: Hakika ilikuwa njema
Mr and Mrs Dossa Wendesha Semina ya WWK
Mr and Mrs Dossa Wendesha Semina ya WWK






WWK



Mchugaji akimuombea kijana aliye mpokea Bwana Yesu

credit to http://apostledarmacy.blogspot.com/