Thursday, December 31, 2015

Taa za Barabarani Mkoa IRINGA

Taa za barabarani zimeanza kungwa Mkoa wa IRINGA
Hongera Sana wadau wote wa usalama barabarani

Friday, November 20, 2015

VCCT STEP UP DAY & NIGHT -2015..

ijumaa ya tar. 27/11/2015.
💥 kuanzia saa 3 usiku na:
j2 ya tar.29/11 katika ibada ZA VCCT itakua nI STUDENT DAY (GET FULL CHARGED)ambayo ni maalumu kwa: *WANAFUNZI* na watahudumu na kuhitimishwa na maombi maalum yakuwekwa wakfu yatakayofanywa na Rev. Dr. Huruma & PST. Joyce Nkone.
Ibada ya 1: 07:00 asbh.
Ibada ya 2: 10:00 asbh.
USAFIRI KUTOKA VYUONI NA KURUDI UTAKUWEPO KATIKA SIKU ZOTE MBILI.
Karibuni sana.